-
Wimbo wa Sulemani 6:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 “Nilishuka kwenye bustani ya miti yenye kokwa+
Ili nione machipukizi bondeni,
Nione ikiwa mzabibu umechipua
Ikiwa mikomamanga imechanua.
-