-
Isaya 18:5Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
5 Kwa maana kabla ya mavuno,
Ua linapokamilika na kuwa zabibu inayoiva,
Machipukizi yake yatakatwa kwa miundu
Vikonyo vitakatwa na kuondolewa.
-
-
Yohana 15:2Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
2 Yeye huliondoa kila tawi ndani yangu lisilozaa matunda, naye hulisafisha kila tawi linalozaa matunda, ili lizae matunda zaidi.+
-