-
Isaya 28:4Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
4 Na ua linalonyauka la uzuri wake wenye utukufu
Lililo juu ya kichwa cha bonde lenye rutuba,
Litakuwa kama tini ya mapema kabla ya wakati wa kiangazi.
Mtu anapoiona, huimeza mara tu inapokuwa mkononi mwake.
-
-
Nahumu 3:12Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
12 Ngome zako zote ni kama mitini yenye tini za kwanza zilizoiva;
Zikitikiswa, zitaanguka kinywani mwa walaji walafi.
-