-
Wimbo wa Sulemani 2:9Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
9 Mpenzi wangu ni kama swala, kama paa dume mchanga.+
Yule pale, amesimama nyuma ya ukuta wetu,
Akichungulia madirishani,
Akitazama kupitia viunzi vya madirisha.
-