-
2 Samweli 8:7Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
7 Isitoshe, Daudi alichukua ngao za mviringo za dhahabu kutoka kwa watumishi wa Hadadezeri na kuzileta Yerusalemu.+
-
-
2 Wafalme 11:10Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
10 Kisha kuhani akawapa wakuu wa mamia mikuki na ngao za mviringo zilizokuwa za Mfalme Daudi, ambazo zilikuwa katika nyumba ya Yehova.
-