-
Kutoka 30:23Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
23 “Kisha, chukua manukato bora kabisa: kilogramu 6 za manemane iliyoganda, kilogramu 3 za mdalasini wenye harufu nzuri, kilogramu 3 za kane,
-
-
Zaburi 45:8Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
8 Mavazi yako yote yametiwa manukato ya manemane na udi na kida;
Kutoka katika jumba tukufu la mfalme lililotengenezwa kwa pembe za tembo, vinanda vinakufanya ushangilie.
-