-
Isaya 44:10, 11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Tazameni! Wenzake wote wataaibishwa!+
Mafundi ni wanadamu tu.
Wote na wakusanyike na kusimama.
Watashikwa na hofu na kuaibishwa pamoja.
-
-
Isaya 45:16Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
16 Wote wataaibishwa na kufedheheshwa;
Watengenezaji wote wa sanamu wataenda zao kwa aibu.+
-