-
Nehemia 9:6Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
6 “Wewe peke yako ndiye Yehova;+ uliumba mbingu, naam, mbingu za mbingu na jeshi lake lote, dunia na vyote vilivyo juu yake, bahari na vyote vilivyomo. Nawe unavihifadhi vyote hai, na jeshi la mbinguni linakuinamia wewe.
-