-
Isaya 42:9Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
9 Tazameni, mambo ya kwanza yametokea;
Sasa ninatangaza mambo mapya.
Kabla hayajatokea, ninawaambia kuyahusu.”+
-
-
Isaya 45:21Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
21 Toeni taarifa yenu, leteni kesi yenu.
Na washauriane pamoja kwa umoja.
Ni nani aliyetabiri jambo hili zamani za kale
Na kulitangaza tangu nyakati zilizopita?
Je, si mimi, Yehova?
-