Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 25:18-21
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 18 Mkuu wa walinzi alimchukua pia kuhani mkuu Seraya,+ Sefania+ kuhani wa pili, na walinzi watatu wa milango.+ 19 Pia alimchukua kutoka jijini ofisa mmoja wa makao ya mfalme aliyekuwa msimamizi wa wanajeshi, watu watano waliopatikana jijini walioshirikiana kwa ukaribu na mfalme, na pia mwandishi wa mkuu wa jeshi, aliyewaandikisha watu jeshini, na wanaume 60 kutoka miongoni mwa watu wa kawaida waliokuwa bado jijini. 20 Nebuzaradani+ mkuu wa walinzi aliwachukua na kuwapeleka kwa mfalme wa Babiloni kule Ribla.+ 21 Mfalme wa Babiloni aliwaua na kuwaangamiza huko Ribla katika nchi ya Hamathi.+ Hivyo watu wa Yuda wakaenda uhamishoni kutoka katika nchi yao.+

  • Zaburi 137:8
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  8 Ee binti ya Babiloni, uliye karibu kuangamizwa,+

      Mwenye furaha ni yule atakayekupa thawabu yako

      Kwa maovu uliyotutendea.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki