-
Ufunuo 18:7Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
7 Kwa kadiri alivyojitukuza na kuishi katika anasa isiyo na aibu, kwa kadiri hiyo mpeni mateso na maombolezo. Kwa maana anaendelea kusema moyoni mwake: ‘Ninaketi nikiwa malkia, mimi si mjane, nami sitaona maombolezo kamwe.’+
-