Danieli 2:2 Tafsiri ya Ulimwegu Mpya 2 Basi mfalme akaagiza makuhani wachawi, watu wanaofanya mazingaombwe, walozi, na Wakaldayo* waitwe ili wamwambie mfalme ndoto zake. Kwa hiyo wakaja na kusimama mbele ya mfalme.+
2 Basi mfalme akaagiza makuhani wachawi, watu wanaofanya mazingaombwe, walozi, na Wakaldayo* waitwe ili wamwambie mfalme ndoto zake. Kwa hiyo wakaja na kusimama mbele ya mfalme.+