-
Methali 23:20Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
20 Usiwe miongoni mwa watu wanaokunywa divai nyingi mno,+
Miongoni mwa wale wanaokula nyama kwa pupa,+
-
Methali 31:4, 5Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
4 Si vema kwa wafalme, ewe Lemueli,
Si vema kwa wafalme kunywa divai
Wala watawala kuuliza, “Kiko wapi kinywaji changu?”+
5 Ili wasinywe na kusahau maagizo
Na kupotosha haki za watu wa hali ya chini.
-
-
-