Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 49:22
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 22 Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova anasema hivi:

      “Tazameni! Nitayainulia mataifa mkono wangu,

      Nami nitawainulia watu ishara yangu.*+

      Watawaleta wana wako wakiwa wamewabeba mikononi mwao*

      Na kuwabeba mabinti wako kwenye mabega yao.+

  • Isaya 60:4
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  4 Inua macho yako utazame pande zote kukuzunguka!

      Wote wamekusanywa; wanakuja kwako.

      Wana wako wanaendelea kuja kutoka mbali sana,+

      Na mabinti wako wakiwa wametegemezwa viunoni.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki