-
Nehemia 2:5Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
5 Kisha nikamjibu mfalme: “Ukipenda, Ee mfalme, na ikiwa mimi mtumishi wako nimepata kibali chako, niruhusu niende Yuda, kwenye jiji ambalo mababu zangu wamezikwa ili nilijenge upya.”+
-