Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 45:8
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  8 Enyi mbingu, leteni mvua kutoka juu;+

      Mawingu na yamwage uadilifu.

      Dunia na ifunguke na kuzaa wokovu kwa wingi,

      Na ichipushe uadilifu wakati uleule.+

      Mimi, Yehova, nimeiumba.”

  • Isaya 62:1
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 62 Sitanyamaza kwa ajili ya Sayuni,+

      Nami sitatulia kwa ajili ya Yerusalemu

      Mpaka uadilifu wake ung’ae kama mwangaza mkali+

      Na wokovu wake uwake kama mwenge.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki