-
2 Wafalme 18:19Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
19 Basi Rabshake akawaambia: “Tafadhali, mwambieni hivi Hezekia: ‘Mfalme mkuu, mfalme wa Ashuru, anauliza, “Ujasiri wako unategemea msingi gani?+
-
-
2 Wafalme 18:28Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
28 Kisha Rabshake akasimama na kusema hivi kwa sauti kubwa kwa lugha ya Wayahudi: “Sikieni neno la mfalme mkuu, mfalme wa Ashuru.+
-
-
2 Wafalme 18:35Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
35 Ni mungu yupi kati ya miungu yote ya nchi mbalimbali ambaye ameokoa nchi yake kutoka mikononi mwangu, hivi kwamba Yehova aokoe Yerusalemu kutoka mikononi mwangu?”’”+
-