-
Kutoka 14:3Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
3 Kisha Farao atasema hivi kuhusu Waisraeli, ‘Wanatangatanga nchini kwa sababu wamechanganyikiwa. Wamepotea nyikani.’
-
-
Kutoka 14:9Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
9 Wamisri wakawafuatia,+ na farasi wote wa magari ya vita ya Farao na askari wake wapanda farasi na jeshi lake lilikuwa likiwakaribia Waisraeli walipokuwa wamepiga kambi kando ya bahari, karibu na Pihahirothi, mbele ya Baal-sefoni.
-