-
Yeremia 25:8Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
8 “Kwa hiyo Yehova wa majeshi anasema hivi: ‘“Kwa sababu hamkuyatii maneno yangu,
-
-
Yeremia 25:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Na nchi hii yote itakuwa magofu na kitu cha kutisha, na mataifa haya yatalazimika kumtumikia mfalme wa Babiloni kwa miaka 70.”’+
-
-
Yeremia 27:6Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
6 Na sasa mimi mwenyewe nimezitia nchi hizi zote mikononi mwa mtumishi wangu Mfalme Nebukadneza+ wa Babiloni; nimempa hata wanyama wa mwituni ili wamtumikie.
-