-
Isaya 13:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
Nitakikomesha kiburi cha wenye kimbelembele,
Nami nitayashusha majivuno ya waonevu.+
-
-
Isaya 17:13Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
13 Mataifa yatatoa sauti kama mngurumo wa maji mengi.
Atayakemea, nayo yatakimbia mbali sana,
Yakifukuzwa kama makapi ya milima mbele ya upepo
Kama mchongoma unaopeperushwa na* upepo wa dhoruba.
-