-
Zaburi 72:1Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
72 Ee Mungu, mpe mfalme hukumu zako,
Na umzawadie mwana wa mfalme uadilifu wako.+
-
-
Zekaria 9:9Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
9 Shangilia sana, Ee binti ya Sayuni.
Paza sauti kwa ushindi, Ee binti ya Yerusalemu.
Tazama! Mfalme wako anakuja kwako.+
-