-
Zaburi 30:11, 12Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Umebadili maombolezo yangu kuwa dansi;
Umenivua nguo zangu za magunia, nawe unanivisha shangwe,
12 Ili niimbe* sifa yako, nisinyamaze.
Ee Yehova Mungu wangu, nitakusifu milele.
-