Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 34:2, 3
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 2 “Yehova Mungu wa Israeli anasema hivi: ‘Nenda uzungumze na Mfalme Sedekia+ wa Yuda nawe umwambie hivi: “Yehova anasema, ‘Ninalitia jiji hili mikononi mwa mfalme wa Babiloni, naye ataliteketeza kwa moto.+ 3 Nawe hutaponyoka kutoka mikononi mwake, kwa maana kwa hakika utakamatwa na kutiwa mikononi mwake.+ Nawe utamwona Mfalme wa Babiloni jicho kwa jicho, naye atazungumza nawe uso kwa uso, nawe utapelekwa Babiloni.’+

  • Yeremia 37:8
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 8 Na Wakaldayo watarudi tena na kulishambulia jiji hili na kuliteka na kuliteketeza kwa moto.”+

  • Yeremia 37:17
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 17 Kisha Mfalme Sedekia akaagiza aletwe, naye mfalme akaanza kumuuliza maswali kisiri katika nyumba yake.*+ Akamuuliza, “Je, kuna neno lolote kutoka kwa Yehova?” Yeremia akasema: “Lipo!” naye akaendelea kusema: “Utatiwa mikononi mwa mfalme wa Babiloni!”+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki