-
Yeremia 36:26Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
26 Isitoshe, mfalme akawaamuru Yerahmeeli mwana wa mfalme, Seraya mwana wa Azrieli, na Shelemia mwana wa Abdeeli wamkamate mwandishi Baruku na nabii Yeremia, lakini Yehova akaendelea kuwaficha.+
-