-
Mwanzo 15:10Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
10 Basi akawachukua wote hao na kuwakata vipande viwili na kuweka kila kipande kando ya kipande cha pili,* lakini hakuwakata ndege.
-
-
Mwanzo 15:17Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
17 Jua lilipotua na giza zito kuingia, tanuru linalofuka moshi lilitokea, na mwenge wa moto ukapita katikati ya vile vipande vya nyama.
-