-
Yeremia 33:1Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
33 Neno la Yehova likamjia Yeremia mara ya pili, alipokuwa bado amezuiliwa katika Ua wa Walinzi,+ na kusema:
-
-
Yeremia 38:13Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
13 nao wakamvuta Yeremia nje kwa zile kamba na kumtoa ndani ya tangi hilo. Na Yeremia akaendelea kukaa katika Ua wa Walinzi.+
-