-
Yeremia 52:8Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
8 Lakini jeshi la Wakaldayo likamfuatia mfalme, nalo likamfikia Sedekia+ katika jangwa tambarare la Yeriko, na wanajeshi wake wote wakatawanyika na kumwacha.
-