-
Yeremia 32:4Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
4 na Mfalme Sedekia wa Yuda hataponyoka kutoka kwa Wakaldayo, kwa maana hakika atatiwa mikononi mwa mfalme wa Babiloni, naye atazungumza naye uso kwa uso na kumwona jicho kwa jicho.”+
-