Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 25:20
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 20 Nebuzaradani+ mkuu wa walinzi aliwachukua na kuwapeleka kwa mfalme wa Babiloni kule Ribla.+

  • Yeremia 40:1
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 40 Neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Yehova baada ya Nebuzaradani+ mkuu wa walinzi kumwachilia huru kutoka Rama.+ Alikuwa amempeleka huko akiwa amefungwa pingu mikononi, naye alikuwa miongoni mwa watu wote waliohamishwa kutoka Yerusalemu na Yuda waliokuwa wakipelekwa uhamishoni Babiloni.

  • Yeremia 52:12
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 12 Katika mwezi wa tano, siku ya kumi ya mwezi huo, yaani, mwaka wa 19 wa utawala wa Mfalme Nebukadneza* wa Babiloni, Nebuzaradani mkuu wa walinzi, aliyekuwa mhudumu wa mfalme wa Babiloni, aliingia Yerusalemu.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki