-
Yeremia 40:2Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
2 Kisha mkuu wa walinzi akamchukua Yeremia na kumwambia: “Yehova Mungu wako alitabiri msiba huu dhidi ya mahali hapa,
-
-
Yeremia 40:4Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
4 Sasa ninakufungua pingu zilizo mikononi mwako. Ikiwa unaona ni vema kwako kwenda pamoja nami Babiloni, njoo, nami nitakutunza. Lakini ikiwa hutaki kwenda pamoja nami Babiloni, usije. Angalia! Nchi nzima iko mbele yako. Nenda popote unapotaka.”+
-