-
2 Wafalme 25:24Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
24 Gedalia akawaapia hivi pamoja na wanajeshi wao: “Msiogope kuwa watumishi wa Wakaldayo. Kaeni katika nchi hii na kumtumikia mfalme wa Babiloni, na mambo yatawaendea vyema.”+
-
-
Yeremia 27:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 “‘“‘Lakini taifa litakaloweka shingo yake chini ya nira ya mfalme wa Babiloni na kumtumikia, nitaliruhusu libaki* kwenye nchi yake,’ asema Yehova, ‘ili kuilima na kukaa ndani yake.’”’”
-