Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 25:23
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 23 Wakuu wote wa jeshi na wanajeshi wao waliposikia kwamba mfalme wa Babiloni amemchagua Gedalia, mara moja wakaenda kwa Gedalia huko Mispa. Wakuu hao ni Ishmaeli mwana wa Nethania, Yohanani mwana wa Karea, Seraya mwana wa Tanhumethi Mnetofa, na Yaazania mwana wa Mmaakathi, pamoja na wanajeshi wao.+

  • Yeremia 40:14
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 14 Wakamwambia: “Je, hujui kwamba Baalisi mfalme wa Waamoni,+ amemtuma Ishmaeli mwana wa Nethania akuue?”*+ Lakini Gedalia mwana wa Ahikamu hakuwaamini.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki