-
Yeremia 40:12Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
12 Basi Wayahudi wote wakaanza kurudi kutoka kila mahali ambako walikuwa wametawanywa, nao wakaja katika nchi ya Yuda, kwa Gedalia huko Mispa. Nao wakakusanya divai na matunda ya wakati wa kiangazi kwa wingi sana.
-