Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 40:11, 12
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Na Wayahudi wote waliokuwa Moabu, Amoni, na Edomu, na wale waliokuwa katika nchi nyingine zote, wakasikia pia kwamba mfalme wa Babiloni alikuwa amewaacha watu fulani wabaki Yuda na kwamba alikuwa amemweka Gedalia mwana wa Ahikamu mwana wa Shafani awe msimamizi wao. 12 Basi Wayahudi wote wakaanza kurudi kutoka kila mahali ambako walikuwa wametawanywa, nao wakaja katika nchi ya Yuda, kwa Gedalia huko Mispa. Nao wakakusanya divai na matunda ya wakati wa kiangazi kwa wingi sana.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki