-
Yeremia 25:17Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
17 Basi nikakichukua kile kikombe kutoka mkononi mwa Yehova na kuyanywesha mataifa yote ambayo Yehova alinituma kwao:+
-
-
Yeremia 25:19Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
19 kisha mfalme Farao wa Misri na watumishi wake, wakuu wake, na watu wake wote,+
-
-
Ezekieli 30:4Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
4 Upanga utaishambulia Misri, na Ethiopia itakumbwa na hofu wakati waliouawa watakapoanguka huko Misri;
Utajiri wake umechukuliwa na misingi yake imebomolewa kabisa.+
-