Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 36:4
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 4 Kisha Yeremia akamwita Baruku+ mwana wa Neria, naye Yeremia akamwambia maneno yote ambayo Yehova alikuwa amemwambia, naye Baruku akayaandika maneno hayo katika kitabu cha kukunjwa Yeremia alipokuwa akiyasema.+

  • Yeremia 36:32
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 32 Kisha Yeremia akachukua kitabu kingine cha kukunjwa na kumpa Baruku mwana wa Neria, mwandishi,+ naye akaandika maneno yote aliyoambiwa na Yeremia ambayo yalikuwa katika kile kitabu cha kukunjwa ambacho Mfalme Yehoyakimu wa Yuda alikuwa amekiteketeza motoni.+ Na maneno mengine mengi kama hayo yakaongezwa.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki