-
Yeremia 25:15Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
15 Kwa maana Yehova Mungu wa Israeli aliniambia hivi: “Chukua kikombe hiki cha divai ya ghadhabu kutoka mkononi mwangu, nawe uyanyweshe mataifa yote ambayo ninakutuma kwao.
-
-
Yeremia 25:19Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
19 kisha mfalme Farao wa Misri na watumishi wake, wakuu wake, na watu wake wote,+
-
-
Ezekieli 29:2Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
2 “Mwana wa binadamu, uelekeze uso wako kwa Farao mfalme wa Misri, na utabiri dhidi yake na dhidi ya nchi yote ya Misri.+
-