Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 23:36
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 36 Yehoyakimu+ alikuwa na umri wa miaka 25 alipoanza kutawala, naye alitawala kwa miaka 11 huko Yerusalemu.+ Mama yake aliitwa Zebida binti ya Pedaya kutoka Ruma.

  • Yeremia 25:1
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 25 Neno lililomjia Yeremia kuhusu watu wote wa Yuda katika mwaka wa nne wa utawala wa Yehoyakimu+ mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, ambao ulikuwa mwaka wa kwanza wa Mfalme Nebukadneza* wa Babiloni.

  • Yeremia 36:1
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 36 Sasa katika mwaka wa nne wa utawala wa Yehoyakimu+ mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, neno hili lilimjia Yeremia kutoka kwa Yehova likisema:

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki