-
Yeremia 14:13Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
13 Ndipo nikasema: “Ole wangu, Ee Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova! Tazama, manabii wanawaambia, ‘Hamtaona upanga, wala hamtakumbwa na njaa kali, bali nitawapa amani ya kweli mahali hapa.’”+
-