-
Isaya 23:4Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
4 Ona aibu, Ee Sidoni, ngome ya bahari,
Kwa sababu bahari imesema:
-
-
Yeremia 25:17Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
17 Basi nikakichukua kile kikombe kutoka mkononi mwa Yehova na kuyanywesha mataifa yote ambayo Yehova alinituma kwao:+
-
-
Yeremia 25:22Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
22 wafalme wote wa Tiro, wafalme wote wa Sidoni,+ na wafalme wa kisiwa kilicho baharini;
-
-
Ezekieli 28:21Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
21 “Mwana wa binadamu, uelekeze uso wako Sidoni,+ nawe utabiri dhidi yake.
-
-
Yoeli 3:4Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
4 Pia, kwa nini mnanitendea hivi,
Enyi watu wa Tiro na Sidoni na maeneo yote ya Ufilisti?
Je, mnanilipiza kisasi kwa sababu ya jambo fulani?
-