Hesabu 32:37 Tafsiri ya Ulimwegu Mpya 37 Nao wana wa Rubeni wakajenga Heshboni,+ Eleale,+ Kiriathaimu,+ Isaya 16:8 Tafsiri ya Ulimwegu Mpya 8 Kwa maana matuta ya Heshboni+ yamenyauka. Mzabibu wa Sibma,+Watawala wa mataifa wameyakanyaga matawi yake mekundu sana;*Walikuwa wamefika mpaka Yazeri;+Walikuwa wameenea mpaka nyikani. Machipukizi yake yalikuwa yameenea mpaka baharini.
8 Kwa maana matuta ya Heshboni+ yamenyauka. Mzabibu wa Sibma,+Watawala wa mataifa wameyakanyaga matawi yake mekundu sana;*Walikuwa wamefika mpaka Yazeri;+Walikuwa wameenea mpaka nyikani. Machipukizi yake yalikuwa yameenea mpaka baharini.