Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 16:6
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  6 Tumesikia kuhusu kiburi cha Moabu—ana kiburi sana+—

      Majivuno yake na kiburi chake na ghadhabu yake;+

      Lakini maneno yake matupu yatakuwa ya bure.

  • Isaya 25:10, 11
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 10 Kwa maana mkono wa Yehova utatulia juu ya mlima huu,+

      Na Moabu itakanyagwa-kanyagwa mahali pake+

      Kama nyasi zinavyokanyagwa-kanyagwa na kuwa rundo la mbolea.

      11 Atapigapiga mikono yake ndani yake

      Kama mwogeleaji anavyopigapiga mikono yake ili kuogelea,

      Naye atakishusha kiburi chake+

      Kwa mwendo stadi wa mikono yake.

  • Sefania 2:9, 10
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  9 Kwa hiyo, kwa hakika kama ninavyoishi,” asema Yehova wa majeshi, Mungu wa Israeli,

      “Moabu itakuwa tu kama Sodoma,+

      Na Waamoni kama Gomora,+

      Mahali penye upupu, shimo la chumvi, na nchi iliyoachwa ukiwa milele.+

      Watu wangu waliobaki watawapora,

      Na watu waliobaki wa taifa langu watamiliki nchi yao.

      10 Hayo ndiyo watakayopata badala ya kiburi chao,+

      Kwa sababu waliwadhihaki na kujikweza dhidi ya watu wa Yehova wa majeshi.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki