-
Yeremia 16:6Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
6 Wakubwa kwa wadogo watakufa katika nchi hii.
Hawatazikwa,
Hakuna mtu atakayewaombolezea,
Wala hakuna mtu atakayejikatakata wala kujitia upara kwa ajili yao.*
-