-
Yeremia 48:7Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
7 Kwa sababu unatumaini kazi zako na hazina zako,
Wewe pia utatekwa.
Na Kemoshi+ atapelekwa uhamishoni,
Pamoja na makuhani wake na wakuu wake.
-