-
Yeremia 51:31Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
31 Mleta habari mmoja anakimbia kukutana na mleta habari mwingine,
Na mjumbe mmoja kukutana na mjumbe mwingine,
Ili kumjulisha mfalme wa Babiloni kwamba jiji lake limetekwa kila upande,+
-
Danieli 5:30Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
30 Usiku huohuo Belshaza mfalme wa Wakaldayo aliuawa.+
-
-
-