-
Isaya 34:6, 7Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
6 Yehova ana upanga; utafunikwa kwa damu.
Kwa maana Yehova ana dhabihu kule Bosra,
Machinjo makubwa katika nchi ya Edomu.+
7 Fahali mwitu watashuka pamoja nao,
Ng’ombe dume wachanga watashuka pamoja na wenye nguvu.
Nchi yao itajaa damu,
Na mavumbi yao yatalowa mafuta.”
-
-
Ezekieli 39:18Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
18 Mtakula nyama ya wenye nguvu na kunywa damu ya viongozi wa dunia—kondoo dume, wanakondoo, mbuzi, na ng’ombe dume—wanyama wote waliononeshwa wa Bashani.
-