Danieli 5:6 Tafsiri ya Ulimwegu Mpya 6 Ndipo uso wa mfalme ukabadilika rangi* na mawazo yake yakamwogopesha, kiuno chake kikalegea+ na magoti yake yakaanza kugongana.
6 Ndipo uso wa mfalme ukabadilika rangi* na mawazo yake yakamwogopesha, kiuno chake kikalegea+ na magoti yake yakaanza kugongana.