-
Ufunuo 18:9Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
9 “Na wafalme wa dunia waliofanya uasherati* naye na kuishi naye katika anasa isiyo na aibu watalia na kujipiga-piga kwa huzuni kwa sababu yake watakapoona moshi unaotokana na kuteketea kwake.
-