-
Isaya 13:13Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
13 Ndiyo maana nitazifanya mbingu zitetemeke
Na dunia itatikiswa itoke mahali pake+
Kwa sababu ya ghadhabu ya Yehova wa majeshi katika siku ya hasira yake inayowaka.
-