-
Mambo ya Walawi 18:25Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
25 Kwa hiyo nchi si safi, nami nitaiadhibu kwa sababu ya dhambi yake, nayo nchi itawatapika wakaaji wake.+
-
-
Yeremia 25:9Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
9 ninaziita familia zote za kaskazini,”+ asema Yehova, “ninamwita Mfalme Nebukadneza* wa Babiloni, mtumishi wangu,+ nami nitawaleta dhidi ya nchi hii+ na dhidi ya wakaaji wake na dhidi ya mataifa haya yote yanayozunguka.+ Nitawaangamiza na kuwafanya kuwa kitu cha kutisha na kitu cha kupigiwa mluzi na magofu ya kudumu.
-